UTAJIRI AMBAO KIJANA ANAWEZA KUPATA KUTOKANA NA KILIMO CHA MATIKITI
MWANZO
Matikiti ni zao la kitropiki ambalo huwapatia vijana wengi kazi za kufanya zao hili hulimwa kwa wingi mikoa kama Morogoro, Tanga, Pwani, Lindi na hata Dar es Salaam. Zao hili ni jamii ya maboga, matango na hata ma squash.
UTAYARISHAJI WA SHAMBA
Shamba linatakiwa liwe limelimwa vizuri kwa kutifuliwa udongo maradufu ili uwe laini kusaidia mbegu kuweza ku mea vizuri.
UPANDAJI
Mbegu 500gms zinahitajika kwa shamba la 1eka ambazo gharama yake ni 300000/=. Upandaji ni 20000/= na upigaji wa mashimo ni 20000/= hapo kumbuka kulima kwa trekta ni 50000/=
DAWA NA HUDUMA
Dawa zinazohitajika ni Dudu-accelametin, folliar na fungicides ambazo kwa eka mpaka mavuno ni 150000. Upigaji wa dawa ni mara moja kwa wiki
PALIZI NA MBOLEA
Palizi ni baada ya wiki tatu ambayo bei yake ni 40000/= mbolea inayotakiwa ni Yaramilla @ 40000/= na mbolea ya pili ni Yaramilla nitrabor @ 40000/= hii tunaweka pale matunda yanapoanza kwaajili ya kuongeza sukari na kutengeneza matunda makubwa kwa ajili ya pesa kubwa.
Note:- usipige madawa mara kwa mara kwa afya ya mlaji.
UVUNAJI
Matikiti huchukua siku 60 mpaka 90 kutokana na mbegu. Na ili kujua tunda lako limeiva unatakiwa kuangalia juu na kuona rangi ya ukijani imeanza kupotea na chini kwenye kitako au base kumetokea rangi ya njano, hapo tunda lako linakuwa tayari kwenda sokoni.
MAPATO
Eka moja ya matikiti hutoa jumla ya 3000000/= sasa angalia gharama uliyotumia kijana minus pesa unayopata, je ni kiasi gani unaingiza kwa siku 60-90. Kama ukilima eka tano au kumi????
Nafasi ya kuwa milionea iko kwenye kilimo, kwanza hakuna kodi halafu ndani ya muda mfupi unapata mkwanja mrefu...Fikiri kijana. PESA IKO SHAMBA.
By:- DENNIS KAVANA
0687568630
ngupapitho@gmail.com
Imehaririwa na App ya kilimo blog.
![]() |
| Kilimo cha matikiti |

Comments
Post a Comment