Karibu sana kwenye app ya ufugaji app ya kwanza nchini Tanzania
Hallooo msomaji wa app ya ufugaji unakaribishwa sana kwenye app hii ya ufugaji ambayo ni app ya kwanza Tanzania kukuletea makala zote za ufugaji wa kuku, bata, kanga, na mifugo mingine.
App hii haijaishia kukufundisha ufugaji tu bali unapata mafunzo ya kulimo biashara. Hapa utajifunza jinsi ya kulima mazao ya aina zote kibiashara na tunakuja na mpango wa kukupa habari za kilimo kama kukutafutia masoko ya bidhaa zako.
Hakuna app ya ufugaji kama hii. Asikudanganye mtu. Kaa na app hii kwenye simu yako kisha wewe mwenyewe utajua mbivu na mbichi. Tumedhamiria kumuunga mkono Mh Rais wetu wa awamu ya Tano J.P.Magufuli katika kuitengeneza Tanzania ya Viwanda. Bila kuipigia upatu sekta ya kilimo viwanda vyetu havitapata malighali za kutosha.
App hii inakuja na mpango kabambe ambao utakunufaisha wewe pia msomaji zaidi ya kupata pafunzo ya kilimo na mifugo. Tutakuwa tunatoa zawadi za vocha za simu mara kwa mara ndani ya app ya ufugaji. Hivyo ukiziwahi vocha hizo kabla ya wenzio basi ni zako.
Endelea kufuatilia mafunzo yote yaliyokwosha pita kama kwanza ndo umeiweka app hii leo kwenye simu yako.Endelea kujisomea huku ukisubiri mambo mazuri yanakuja ndani ya App ya ufugaji. Waambie marafiki zako waingie play store kisha waandike "App ya ufugaji" wataona picha ya Bata mzinga mweuzi mzuri anayevutia kisha wabonyeze install ili waweze kufaidi mafunzo ya ufugaji na kilimo kama wewe unavyofaidi. Hongera kwa kuchagua "App ya ufugaji"

Comments
Post a Comment